Posts

Showing posts from November, 2020

Historia ya Nyerere

Image
     MWANZO   MATANGAZO  MATUKIO  NYARAKA FOMU  ZABUNI   AJIRA   WASIFU   Makundi yote .... -> Kurasa -> Nyaraka -> Fomu -> Zabuni -> Mpangilio Orodha -> Matukio -> Nifanyeje -> Wasifu   Mwl. Julius K. Nyerere Mh. Amani Abeid Karume Nifanyeje Kukodi Kusajili Kuomba Vibali Kuomba PasiPoti/Pasi/Visa Kuomba Miyadi Kujiunga Kusafirisha/Kuingiza Kununua Nyumba Kulipa Soma zaidi » ...     Mwanzo Profiles Cheo Cheo : Raisi wa Zamani Julius Kambarage Nyerere Utumishi: 1962 - 1985 (Rais wa Tanzania) Taarifa za Kina Tarehe ya Kuzaliwa: 1922-04-13 Mahali pa Kuzaliwa: Butiama - Musoma Ndoa: Ameoa Maelezo Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Rais wa Kwanza wa Tanzania alizaliwa tarehe 13 Aprili, mwaka 1922 katika kijiji cha Butiama, Wilaya ya Musoma katika Mkoa wa Mara. Alikuwa mtoto wa Chifu Nyerere Burito na Bibi Christina Mugaya Wanyang’ombe. Mwalimu Julius  Kambarage Nyerere alipata elimu ya msingi katika shule ya Mwisenge iliyoko katika Manispaa ya Musoma na baadaye akaend