Posts

Historia ya Messi kwa ufupi

Image
  HISTORIA YA LIONEL MESSI EmmanuelKasomi Lionel Andres Messi amezaliwa tarehe 24 mwenzi wa 6 mwaka 1987 ni mtoto wa tatu wa George Messi na Cecilian Cuccitini. Messi anaasili ya kiitaliano na kihispania. Akiwa na miaka 4 alikuwa professional player alijiunga katika timu  ya Grahdoli ambayo kocha alikuwa baba yake. Akiwa na miaka 11 bibi yake alifariki na ndipo alianza kushangilia kwa goli kwa kuangalia juu na kunyoosha videle hewani kwa ishara ya kumkumbuka bibi yake. Akiwa na miaka 6 alijinga na Newells sport club na kuwafungia magoli 500, Messi aligundulika ana upungufu wa homoni ya ukuaji akiwa na miaka 10 baba yake alimtibu kwa gharama ya dola 1000 kwa mwenzi. Mwaka 2000 familia yake ilimchukua na kumpeeka Neo camp kwa ajili ya kufanya majaribio. Director wa Barcelona alimkubali Messi na ilipofika mwenzi wa 12 mwaka 2000 alisainiwa Barcelona. Baada ya kwenda Barcelona familia yake ilihamia karibu na Neo camp ili kumpa ukaribu mtoto wao. Hii ni kwa sababu Hispania kulikuwa...

Historian ya Ginimbi

Image
mmanuelKasomihadi maelezo Yaliyomo  EmmanuelKasomi News @Habari Uchaguzi  Michezo Video Vipindi vya Redio Genius Ginimbi Kadungure: Mfahamu milionea wa Zimbabwe aliyefariki katika ajali ya barabarani 13 Novemba 2020 CHANZO CHA PICHA, GENIUS GINIMBI/TWITTER Genius Kadungure maarufu Ginimbi alikuwa mtu maarufu sana nchini Zimbabwe akiwa mlimbwende na mfanyabiashara. Pia alikuwa mwanzilishi wa kampuni ya bkuuza gesi ya Pioneer gases ambayo ina kampuni nchini Botswana , Afrika Kusini na Zimbabwe. Mnamo tarehe 8 mwezi Novemba 2020, Ginimbi aliaga dunia baada ya ajali ya gari . Gari hilo aina ya Rolls Royce lilidaiwa kugonga gari jingine na kukosa mwelekeo na kugonga mtu kandokando ya barabara. Kufuatia hatua hiyo gari hili liliwaka moto na kuchomeka. Milionea wa Zimbabwe atazikwa na utajiri wake Ukweli kuhusu milionea Ginimbi ,mlimbwende Moana waliofariki katika ajali mbaya ya gari Kulingana na mashahidi Ginimbi alidaiwa kutolewa akiwa hai lakini akafariki muda mchache baadaye. Abi...